Mwanaume mmoja raia wa Marekani anayefahamika kwa jina la Billy Burleigh amefika hospitalini akidai kurudishiwa jinsi yake ya kiume baada ya miaka 7 ya kuishi na jinsi ya kike. Billy alifika hospitalini hapo kwa mara ya kwanza na kufanyiwa upasuaji uliopelekea kupewa jinsi ya kike ili afanane na dada zake…