Na Christina Gauluhanga, Mtanzania Digital MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imejipanga kufanya kazi kwa weledi kwa kutumia zaidi mitandao ili kupunguza misongamano inayoweza kuchangia maambukizi ya ugonjwa wa Covid 19. Hayo yamesemwa Septemba 3, 2021 jijini Dar es Salaam na Mkurungezi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi(TRA), Richard…