Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Watoto 20 wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima kilichopo Tabata Msimbazi Kata ya Tabata wamepatiwa kadi za bima ya afya ili kuwawezesha kupata huduma bora. Mkurugenzi wa Small Planet Bar, Andrew Msilanga (kushoto) akikabidhi jezi kwa Ofisa Elimu wa Jiji la Dar es Salaam, Mwalimu…