Na Winfrida Mtoi,Mtanzania Digital Kikosi cha Polisi Tanzania kimeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara katika usajili unaondelea, hadi sasa kikinasa saini za nyota watatu. Hadi sasa maafande hao wa Jeshi la Polisi, wamenasa saini ya beki wa Yanga, Said Juma Makapu, kiungo Tariq Simba(Biashara United) na…