Na Nora Damian, Mtanzania Digital Unapoingia katika karakana ya ufundi wa uungaji vyuma Chuo cha Ufundi Stadi Veta, Dar es Salaam, kama hutaangalia umri wa unaowakuta hapo ni vigumu kujua yupi ni mwanafunzi na yupi ni mwalimu. Hii inatokana na utani na ucheshi unaotawala hata wakati wa mafunzo kati ya…